M Master SM Member Joined May 29, 2020 Posts 55 Reaction score 54 Jun 7, 2021 #1 Habari zenu wa jf, kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa. Wanavimba sehemu za usoni. Msaada wenu wana jamii
Habari zenu wa jf, kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa. Wanavimba sehemu za usoni. Msaada wenu wana jamii
C Charliemic JF-Expert Member Joined Feb 17, 2019 Posts 602 Reaction score 969 Jun 8, 2021 #2 Mkuu maelezo yako hayatoshi, elezea vizuri kwa undani ukiweza weka picha
molwe JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 416 Reaction score 440 Jun 8, 2021 #3 Kama ni mapele itakuwa ndui, chukua kuku mmoja nenda nae duka la mifugo wakusaidie
Atacms JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,884 Reaction score 8,924 Jun 15, 2021 #4 Master SM said: Habari zenu wa jf, kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa. Wanavimba sehemu za usoni. Msaada wenu wana jamii Click to expand... emb waone hawa jamaa wanaweza kukusaidia
Master SM said: Habari zenu wa jf, kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa. Wanavimba sehemu za usoni. Msaada wenu wana jamii Click to expand... emb waone hawa jamaa wanaweza kukusaidia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 15, 2021 #5 moyes said: emb waone hawa jamaa wanaweza kukusaidiaView attachment 1819538 Click to expand... Mleta mada chukua muongozo...
moyes said: emb waone hawa jamaa wanaweza kukusaidiaView attachment 1819538 Click to expand... Mleta mada chukua muongozo...