Msaada: Kuku wangu yupo hoi

Hii hali jamani inatibiwa vipi au ndo tumchinje tu maana huyu tetea alikuwa anataga vizur ila ghafla nashangaa hiyo sijui ndo uzazi wake hata sielewi imetoka nje...
 
Hilo tatizo linaitwa vent prolapse
Inatokana na kuku kukosa madini ya calcium
Pia amewahi kutaga kabla ya umri wake

Ushauri mchinje tu ...pia zingatia uwepo wa madini ya calcium na phosphorous kwenye chakula chao hasa dagaa, au nunua dcp wawekee kwenye chakula chao
 
Mkuu ahsante kwa ushauri wako ila good news ni kwamba nilipitia googlekujifunza zaidi treatment yake baada ya kujua jina la ugonjwa ( thanks to u). Sasa hivi anaendelea vizur na yuko na afya njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…