thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,458
- 1,432
- Thread starter
- #21
Hii hali jamani inatibiwa vipi au ndo tumchinje tu maana huyu tetea alikuwa anataga vizur ila ghafla nashangaa hiyo sijui ndo uzazi wake hata sielewi imetoka nje...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Hapana hii ni sulfa kwa akili ya magonjwa ya tumbo
Hilo tatizo linaitwa vent prolapseHii hali jamani inatibiwa vipi au ndo tumchinje tu maana huyu tetea alikuwa anataga vizur ila ghafla nashangaa hiyo sijui ndo uzazi wake hata sielewi imetoka nje...View attachment 1698594View attachment 1698596View attachment 1698597View attachment 1698600
Vipi mkuu
Ina shida gani
Mkuu ahsante kwa ushauri wako ila good news ni kwamba nilipitia googlekujifunza zaidi treatment yake baada ya kujua jina la ugonjwa ( thanks to u). Sasa hivi anaendelea vizur na yuko na afya njema.Hilo tatizo linaitwa vent prolapse
Inatokana na kuku kukosa madini ya calcium
Pia amewahi kutaga kabla ya umri wake
Ushauri mchinje tu ...pia zingatia uwepo wa madini ya calcium na phosphorous kwenye chakula chao hasa dagaa, au nunua dcp wawekee kwenye chakula chao
That that! 😜😂😂😂😂😂Acha ujinga wewe chinja huyo kuku kabla hajafa