Msaada kulipiwa mafunzo ya TMT, yatayofanyika Dar es salaam tareh 23/10/2017-27/10/2017

Mr

Mr utube Ku open live account ni bei gani kwa muongozo uliopata hapo
Mkuu kiwango inategemea broker unayemtumia, wengine hawana minimum amount wengine wanayo.

TMT tunamtumia jpmarket, jpmarket hawana minimum amount, ila walimu wanashauri angalau uanze na $300, ukishindwa kabisa basi tujitahid $100.

Kiwango kikubwa kinakusaidia kupata matokeo chanya ya mapema, sababu nawewe utaweka lot size nzuri.
 
habari? Samahani naomba nisaidie namba yako pm kama hutojali. Nisaidie ni mhm pliz
 
habari? Samahani naomba nisaidie namba yako pm kama hutojali. Nisaidie ni mhm pliz
Sawa mkuu, namba yangu pia ipo hapo juu - - - - - - - -. Text me through the number nitaikuta or call me around 7pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…