YouTube
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 936
- 361
- Thread starter
- #41
Mkuu kiwango inategemea broker unayemtumia, wengine hawana minimum amount wengine wanayo.Mr
Mr utube Ku open live account ni bei gani kwa muongozo uliopata hapo
TMT tunamtumia jpmarket, jpmarket hawana minimum amount, ila walimu wanashauri angalau uanze na $300, ukishindwa kabisa basi tujitahid $100.
Kiwango kikubwa kinakusaidia kupata matokeo chanya ya mapema, sababu nawewe utaweka lot size nzuri.