Kumbukumbu dogo sana, imesaidia pakubwa sana. Jamaa kwa sababu ni mara ya tatu anamuungisha bidhaa, basi akakumbuka katika story story aligusia kuna sehemu ndio huwa anakula pale mara kwa mara. Basi, wameenda pale, yule dada muuza chakula, turns out ni manzi wake. So hakuna haja tena ya kutrack simu. Hii Case closed.