Britmwandri Sr
New Member
- Sep 19, 2020
- 3
- 0
Ninatanguliza heshima na shukurani.
Kwa mtu aliyeolewa Tanzania kwa zaidi ya miaka 10 na kuwa na watoto na mumewe, ikiwa hajafanya taratibu za uraia anaweza kupata cheti cha msamaha wa kibali cha kazi?
Iwapo anaweza kupata msamaha ninaomba kujua ni taratibu zipi za kufuata.
Asante.