Britmwandri Sr
New Member
- Sep 19, 2020
- 3
- 0
Kwa Tanzania ya Magufuli hilo haliwezekani. Subiri hadi Oktoba 28 mara atakapovurumishwa kutoka Ikulu!Ninatanguliza heshima na shukurani.
Kwa mtu aliyeolewa Tanzania kwa zaidi ya miaka 10 na kuwa na watoto na mumewe, ikiwa hajafanya taratibu za uraia anaweza kupata cheti cha msamaha wa kibali cha kazi?
Iwapo anaweza kupata msamaha ninaomba kujua ni taratibu zipi za kufuata.
Asante.
Ok.Kwa Tanzania ya Magufuli hilo haliwezekani. Subiri hadi Oktoba 28 mara atakapovurumishwa kutoka Ikulu!
Ok.
Je, Kabla ya Magu sheria iliruhusu msamaha kama huo? Ninafikiri kama dirisha hilo lilikuwepo pengine bado inawezekana japo itahitaji ufuatiliaji wa karibu
Hebu ni-PMOk.
Je, Kabla ya Magu sheria iliruhusu msamaha kama huo? Ninafikiri kama dirisha hilo lilikuwepo pengine bado inawezekana japo itahitaji ufuatiliaji wa karibu