barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Habari zenu!
Kwa wale wanasheria na pia wajuzi wa sheria na taratibu za kipolisi, naombeni ushauri.
Binafsi sijui kabisa taratibu za kipolisi na pia kisheria, yaani jinsi ya kumuweka mtu ndani na kisha kumfungulia mashtaka.
Mimi kuna mtu ananisumbua sana hapa ninapokaa, anakuja na kunipigia kelele, yaani kelele za fujo kabisa.
Nataka nimfundishe adabu ajue kuwa nchi hii ina sheria na kila mtu ana uhuru wa kutokusumbuliwa. Sitaki kutumia nguvu yaani physical assault maana naweza jiweka mwenyewe matatizoni!
Taratibu za kumfikisha polisi ni zipi ikiwezekana hata akalale selo?
Asanteni!