Msaada Kuna Uvimbe Kwenye Kichwa

Msaada Kuna Uvimbe Kwenye Kichwa

Hii siyo Muhimbili Ndugu, Nenda uonane na Daktari atakupa msaada wa uhakika zaidi na kujua huo uvimbe unasababishwa na nini ila ukikaa hapa kusubiri tiba hakika utaendelea kusogeza matatizo mengi zaidi.
 
Kwanza afahamu hakuna tiba ya maandishi.
 
Mkuu nenda hospital.
Kuna uvimbe wa aina nyingi na sababu tofauti.
Huo uvimbe bila kuuona daktari itakuwa ramli chonganishi tu.
 
Back
Top Bottom