Msaada kunitajia movie ambazo sitakiwi kuangalia na watoto

Msaada kunitajia movie ambazo sitakiwi kuangalia na watoto

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd ,zile ambazo zina kwich kwich sana...maana hawa watoto wataharibika bure..
 
nina maktaba kubwa mkuu 4tb internal... bado external...alafu sijaziangalia zote...ukinitajia majina itakuwa umenisaidia
Movie ni nyingi
Nani atakutajia hayo majina?.

chagua ulizowahi ona zinafaa ziweke pembeni ndio uwape watoto

binafsi nikiwa na muda mi ndo nachagua movie ikiwa na maadili mazuri naiweka folder la Family Movies

sipendi kutizama na familia kitu sikijui
Ni fedheha yakitokea ya ovyo..
 
nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd ,zile ambazo zina kwich kwich sana...maana hawa watoto wataharibika bure..
Usijiroge uangalie movies za Sharon Stone au za Antonio Banderas au Salma Hayek.

Tafuta Original Sin ya Sharon uangalie mwenyewe
 
Back
Top Bottom