Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Asante mkuu..ngoja niiangalie kwenye maktaba yangu...kama ipo niifute fastaPower
Money respect ya kina 50 cent
Nsyuka alimkwich kwich naniNSYUKA
Upi huoMbona ule uzi mwingine umeutelekeza mkuu
nina maktaba kubwa mkuu 4tb internal... bado external...alafu sijaziangalia zote...ukinitajia majina itakuwa umenisaidiaVerify movie zote ndo uwape watoto
mtoto atizame kitu unachokijua
Movie ni nyinginina maktaba kubwa mkuu 4tb internal... bado external...alafu sijaziangalia zote...ukinitajia majina itakuwa umenisaidia
Mkuu naomba msaada nami nipate movie za kucheki basiinina maktaba kubwa mkuu 4tb internal... bado external...alafu sijaziangalia zote...ukinitajia majina itakuwa umenisaidia
Usijiroge uangalie movies za Sharon Stone au za Antonio Banderas au Salma Hayek.nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd ,zile ambazo zina kwich kwich sana...maana hawa watoto wataharibika bure..
Au movie ya Alexander The Great maana alikuwa anamla dadake kwa lazima na yeye pia analiwa na pia anawala wanaume wenzake. Ujinga mtupuNilijirogaga nikaweka spartacus.... Aisee kuna warumi kama wote