Msaada kununua bitcoins

Tumia mtandao wa localbitcoin dot com kunawauzaji wengi Mimi pia nilisha nunua huko unalipa kwa mpesa tigopesa na unapata Bitcoin zako papo hapo hakuna utapel wacheck hao bro.
Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
 
Tena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
Ungenunua bitcoin 10 tu za elfu ishirini,leo hii ungekua na trillioni 1
 
Ungenunua bitcoin 10 tu za elfu ishirini,leo hii ungekua na trillioni 1
Mkuu acha kudanganya watu bitcoin 10 hazifiki trilioni moja. Kwa sasa bitcoin moja ni kama us dollar 57,000

57000*10 = 570,000 $ kwa hizo bitcoin zako kumi ungekua na kama bilion moja point tatu hivi, bado ni kiasi kizuri kwa uwekezaji huo wa elfu 25 kwa miaka kumi japo wewe ulitia chumvi sana.
 
Tena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
Wewe ni masikini na utabaki ivyo ivyo..mimi wakati huo nilikuwa mtoto sana ningekuwa mkubwa kama wewe ningenunua.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Tumia mtandao wa localbitcoin dot com kunawauzaji wengi Mimi pia nilisha nunua huko unalipa kwa mpesa tigopesa na unapata Bitcoin zako papo hapo hakuna utapel wacheck hao bro.
Mkubwa nilifuata ushauri wako na kwa sasa nishapata profit mara 8
 
sio wewe tu mm 2013 wakat nipo mwaka wa 1 chuo ndio nilianza kufuatilia bitcoin nilipofundishwa mambo ya cryptography ndio kwenye pitapita zang online nikakutana na Crypto currency nikasema mwez wa 8 lazma ninunue kwa pesa zang na nikchanganya na za field ila uoga ukanitanda nikaacha mwaka 2017 roho iliniuma sana wakat nmemaliza chuo na sina ajira alaf naangalia bitcoin moja ni $19,000 alf plan yang ilikuwa ni kununua 3BTC coz zingenicost kama $400 jumla.
ambayo kwa bei ya $19,000 ningekuwa na $ 57,000 ndani ya miaka 3 tu.
 
Duh kudadek
 
Ukiachana na bitcoin kuna tokens au coin nyingine zipo na bei ndogo tuu jaribu kuangalia hii inaitwa phaeton, do your own research ukivutiwa unanunua hata za $100, mpaka jan 2022, $100 inaweza kuwa $1000

If interested on their project unaweza nunua kupitia exchange hii hapo kwenye link

Bitcoin Exchange | Cryptocurrency Exchange | LATOKEN
 
Kwa mfano kuna tokens kama SOLANA kama January 1 2021 ungenunua na kuhold za $100 leo ungekua na $7,000, au AXS za $100 jan1 2021 leo ni $ 21,166 ,cha muhimu wewe kuwa na uelewa wa crypto currency na blockchain kwa ujumla kuna opportunity mbali mbali kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…