Bookman Oldstyle
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 147
- 47
Ni bora ilikuwepo tushaweka miaka 100 VIP weye?!Bichwa maji na wewe umefikaje huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora ilikuwepo tushaweka miaka 100 VIP weye?!Bichwa maji na wewe umefikaje huku
Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
Duh mkuu leo je?Bitcoin moja inauzwa 11mil hizo hela zako kanywer bia mkuu
Ungenunua bitcoin 10 tu za elfu ishirini,leo hii ungekua na trillioni 1Tena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
Dola 50 janywee chai mkuu. Bitcoin 1=$56000Wakubwa mwenye uwezo wa kuninunulia bitcoin za thamani ya $50 mtandaoni naomba anicheck pm tafadhari
Mkuu acha kudanganya watu bitcoin 10 hazifiki trilioni moja. Kwa sasa bitcoin moja ni kama us dollar 57,000Ungenunua bitcoin 10 tu za elfu ishirini,leo hii ungekua na trillioni 1
Wewe ni masikini na utabaki ivyo ivyo..mimi wakati huo nilikuwa mtoto sana ningekuwa mkubwa kama wewe ningenunua.Tena kimbe nina mwaka sijachingulia imefikia milion21. Najita kizaliwa, ishu ya bitcoin nliishtukia mapemaaaaa2009 akati nimeanza kazi nikataka nikope 3mil ninunue bitcoin. Wakati huo inauzwa elf2 za madafu kama sikoseiView attachment 1253072
Mkubwa nilifuata ushauri wako na kwa sasa nishapata profit mara 8Tumia mtandao wa localbitcoin dot com kunawauzaji wengi Mimi pia nilisha nunua huko unalipa kwa mpesa tigopesa na unapata Bitcoin zako papo hapo hakuna utapel wacheck hao bro.
sio wewe tu mm 2013 wakat nipo mwaka wa 1 chuo ndio nilianza kufuatilia bitcoin nilipofundishwa mambo ya cryptography ndio kwenye pitapita zang online nikakutana na Crypto currency nikasema mwez wa 8 lazma ninunue kwa pesa zang na nikchanganya na za field ila uoga ukanitanda nikaacha mwaka 2017 roho iliniuma sana wakat nmemaliza chuo na sina ajira alaf naangalia bitcoin moja ni $19,000 alf plan yang ilikuwa ni kununua 3BTC coz zingenicost kama $400 jumla.Nliijua bitcoin 2009 nlipanga nikope hela ninunue
Angalia bei ya wakati huo ana nlitaka kununua za laki 2.5
Bitcoin price chart for the entire history from 2008 to 2023
Let's remember all the ups and downs of the first digital currency. The maximum Bitcoin price is $ 64,863.10 USD (peak was reached on April 14, 2021).bytwork.com
sio wewe tu mm 2013 wakat nipo mwaka wa 1 chuo ndio nilianza kufuatilia bitcoin nilipofundishwa mambo ya cryptography ndio kwenye pitapita zang online nikakutana na Crypto currency nikasema mwez wa 8 lazma ninunue kwa pesa zang na nikchanganya na za field ila uoga ukanitanda nikaacha mwaka 2017 roho iliniuma sana wakat nmemaliza chuo na sina ajira alaf naangalia bitcoin moja ni $19,000 alf plan yang ilikuwa ni kununua 3BTC coz zingenicost kama $400 jumla.
ambayo kwa bei ya $19,000 ningekuwa na $ 57,000 ndani ya miaka 3 tu.
Ukiachana na bitcoin kuna tokens au coin nyingine zipo na bei ndogo tuu jaribu kuangalia hii inaitwa phaeton, do your own research ukivutiwa unanunua hata za $100, mpaka jan 2022, $100 inaweza kuwa $1000sio wewe tu mm 2013 wakat nipo mwaka wa 1 chuo ndio nilianza kufuatilia bitcoin nilipofundishwa mambo ya cryptography ndio kwenye pitapita zang online nikakutana na Crypto currency nikasema mwez wa 8 lazma ninunue kwa pesa zang na nikchanganya na za field ila uoga ukanitanda nikaacha mwaka 2017 roho iliniuma sana wakat nmemaliza chuo na sina ajira alaf naangalia bitcoin moja ni $19,000 alf plan yang ilikuwa ni kununua 3BTC coz zingenicost kama $400 jumla.
ambayo kwa bei ya $19,000 ningekuwa na $ 57,000 ndani ya miaka 3 tu.
Kwa mfano kuna tokens kama SOLANA kama January 1 2021 ungenunua na kuhold za $100 leo ungekua na $7,000, au AXS za $100 jan1 2021 leo ni $ 21,166 ,cha muhimu wewe kuwa na uelewa wa crypto currency na blockchain kwa ujumla kuna opportunity mbali mbali kila siku.sio wewe tu mm 2013 wakat nipo mwaka wa 1 chuo ndio nilianza kufuatilia bitcoin nilipofundishwa mambo ya cryptography ndio kwenye pitapita zang online nikakutana na Crypto currency nikasema mwez wa 8 lazma ninunue kwa pesa zang na nikchanganya na za field ila uoga ukanitanda nikaacha mwaka 2017 roho iliniuma sana wakat nmemaliza chuo na sina ajira alaf naangalia bitcoin moja ni $19,000 alf plan yang ilikuwa ni kununua 3BTC coz zingenicost kama $400 jumla.
ambayo kwa bei ya $19,000 ningekuwa na $ 57,000 ndani ya miaka 3 tu.