Abayesu bayesu
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 119
- 124
Asante nashukur angalau nimepata pa kuanziaNenda keko pale kuna hawa jamaa wanajiita MASUMUN sina uhakika na jina wanatengeneza madaftari.
Ila kuhusu lime papers jaribu mgolole kiwanda cha karatasi kipo Iringa. Search ata kwa google upate mawasiliano.Asante nashukur angalau nimepata pa kuanzia
Asante ngoja niwatafte wadau wa iringaIla kuhusu lime papers jaribu mgolole kiwanda cha karatasi kipo Iringa. Search ata kwa google upate mawasiliano.
Jaman kwa mtu anayejua kama ukinua kwa bei ya pamoja na aupo kweny huo mkoa ambao kiwanda kipo. vipi usafiri wanakutumia au usafiri ni wako, pia uli ununue moja kwa moja kiwandan wanaitaji kwanzia mtaji wa shingapi? Jaman kwa anaejua atufaamishe
Ndugu ulifanikiwa? Maana Nina shida km yako....naomba unijuze pls