Abayesu bayesu
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 119
- 124
Habari za jioni wapendwa,
Mimi niko Shinyanga nataka kuanza kuuza madaftari, kalamu na ream papers kwa jumla nataka kuagiza mzigo moja kwa moja toka viwandani lakini sijui hivi viwanda vipo wapi hapa Tanzania na kama kuna mtu anafanya biashara hii naomba anitumie hata namba za wahusika.
Ahsanteni