Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Niko mbioni kutaka kununua gari ndogo kwa matumizi binafsi na kikazi ndani ya mji na nje ya mji(Smooth roads and Rough roads). Ninadhani ni SUZUKI JIMNY ni gari Ndogo, Nzuri na Ngumu(ukilinganisha na magari mengine mengi) baada ya kuona taasisi nyingi makini za miradi hususani ya kimataifa hapa nchini wakizitumia.
Bahati mbaya sana sijui taarifa muhimu za uhakika kuhusu Gharama ya kuinunua, matumizi yake ya Mafuta, Uimara wake, Vipuri, Matengenezo na kasoro za aina hii ya gari. Tafadhari wajuzi wa mambo ya magari naombeni ushauri wenu.