Msaada: Kununua Suzuki Jimny

Msaada: Kununua Suzuki Jimny

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Niko mbioni kutaka kununua gari ndogo kwa matumizi binafsi na kikazi ndani ya mji na nje ya mji(Smooth roads and Rough roads). Ninadhani ni SUZUKI JIMNY ni gari Ndogo, Nzuri na Ngumu(ukilinganisha na magari mengine mengi) baada ya kuona taasisi nyingi makini za miradi hususani ya kimataifa hapa nchini wakizitumia.

Bahati mbaya sana sijui taarifa muhimu za uhakika kuhusu Gharama ya kuinunua, matumizi yake ya Mafuta, Uimara wake, Vipuri, Matengenezo na kasoro za aina hii ya gari. Tafadhari wajuzi wa mambo ya magari naombeni ushauri wenu.
 
Mkuu kuna thread ipo humo itafute imezungumzia vizuri sana Suzuki Jimny kila kitu
 
Asante Kennedy kwa taarifa. Ngoja niitafute humu. Ingekuwa vizuri kama mdau yoyote angetuwekea link.
 
Last edited by a moderator:
mkuu kbm acha kuflud post moja tu si ingetosha tu kuwasilisha yote uliyotaka kusema?

mkuu zanzibar-asp sidhani vinafika miln 16, pamoja na kodi haiwezi kuzidi mil10 , labda kuanzia kwenye 8-10, kwa ya 2004 kushuka chini.

anyway inaweza fika hata zaidi ya mil20 kama unataka ya mwaku huu 2014 .
 
...mkuu "mathematics" ukifatilia hizo link zina maelezo tofauti' most zikiwa za wadau/wanajamvi wa hapa JF' mimi nikiwa mmojawapo, lakini maelezo yake ya hapa JF hayatoshi kwa mtu mwenye nia yakutaka kununua SUZUKI JIMNY, "mimi nimekuwa nikifatilia aina ya gari kwa muda mrefu, baadaya kuwa nimetumia aina tafauti ya magari, na sasa natafuta gari ya kukaa nalo angalau zaidi ya miaka 10 na zaidi".
Kwavile' ndg yetu Zanzibar-ASP kaomba kuwekewa link ambazo zote mimi binafsi nimezipitia, na kwa maelezo yaliyomo hayatoshelezi kwa mwenye nia ya kununua gari hilo!
Ndiyo maana nikaweka na LINK za mitandao tofauti za uuzaji wa magari, na ukifatilia kwa udani zaidi utaweza kugundua kasoro/ujanja wanao tumia baadhi ya mitandao (kwa mfano kwenye UBAO WA MATANGAZO WA TRADECARVIEW kuna makampuni mengi wanatumia mbinu mbalimbali ili kuwapata wanunuzi).
Pia kuna makampuni mengine wako makini kwa uuzaji magari yenye ubora. Kwahiyo mkuu ndugu yetu "Zanzibar-ASP" kama unahitaji kununua SUZUKI JIMNY (ni gari nzuri sana, linahimili misukosuko ya barabarani, matumizi madogo ya mafuta, kwa ujumla ni gari imara, ndiyo maana na bei zake ziko juu):
Ziko aina tatu za SUZUKI JIMNY' zenye cc 0.650 & cc 0.660 ndiyo ze bei ya juu.
"mkuu 'Zanzibar-ASP' fanya utafiti wa kina kwanza"
 
Na vp kuhusu bei ya spare,naskia zinapatikana kwa kulenga sana?
 
Back
Top Bottom