Mku aaamuk Hawata acha Wapiga Punyeto Wanachama wa chama cha Wapiga Punyeto Tanzania Aka (Chapuwata) wakiaacha kupiga punyeto sisi tunao uza Dawa tutamu uzia nani? Mkuu usiwastue waache waendelee kupiga Punyeto ili tupate kuuza dawa Hapa ni Kazi tu.Na hili liwe funzo kwa wapiga nyet O wote
Dose
1. Fanya mazoez ya kutosha ( misuli ita kakamaa yenyewe) ukishibdwa kujisimamia mwenyewe nenda ata gym za kisasa utakutana na walimu wa mazoez hasa ya kuimalusha misuli ya kiono na kunako.
2. Kula mlo kamili sio kila siku wali ukibadil ugal.
3. Ishi kwa furaha mwenyewe. ( ondoa mawazo ya kuwa una upungufu)
NB: Unaweza ondoa mawazo kwa kuenda sehemu ambayo unaona ww itakufanya ikili yako isiwaze chochote kama kuonana na marafiki na kuchil sehem nzur au ata kwa kutembelea sehemu ambayo huwa inaku inspire.
Akamuone daktari kwa ushauri zaidi,hyo inaweza kuwa ni impotence,mishipa ya kupeleka damu kwenye uume imelegea hivyo ni suala la kitaalamu kuweza kuihuisha,wkt mwngine punyeto inaweza kukufanya ukapoteza hamu ya kufanya mapenzi kitaalamu inaitwa loss of libido. Unajisikia kujichua tu kuliko kuwa na mwanamke, inaweza kuwa sababu ya jamaa kufika mapemaaaa na kushindwa kurudi tena.
Angalizo :dawa nyingi za kwenye mtandao na waganga wa kienyeji zina shida yake,wengi wamekua wajanja sana hasa baada ya kugundua tatizo la nguvu za kiume limeshakua janga kwa watu wengi.
Cha msingi ni kumuona dk.kwa matibabu na ushauri wa kitabibu.