Msaada kuokoa hii ndoa

Msaada kuokoa hii ndoa

Mlafu

Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
63
Reaction score
53
Ndugu zangu naamini kwa wengi haliharibiki neno.

Nina rafiki yangu alikua akioiga sana punyeto mpaka alipooa ndipo kaacha. Shida inakuja, hawezi kumridhisha mke wake, ndani ya dakika moja anapizz na hawezi rudia tena. Akashauriwa atumie dawa moja inaitwa Erecto ya kuongeza nguvu, shida iliyopo bila hizo dawa hawezi fanya kitu kabisa. Je, kuna dawa ya kuweza kumponya kabisa na tatizo hili?

Naombeni msaada ndugu walau ndoa yake idumu.
 
Tiba mbadala na ya pekee kwako maana ni wewe na sio kumsingizia rafiki yako ni kuliacha kabisa suala la punyeto na uanze kula sana vyakula vyenye virutubisho kwa wingi pamoja na matunda halafu uache kuangalia picha za ngono. Vile vile mumbe huyo mke wako akupe ushirikiano wa kuktibu tatizo as time go time will cure your won created problem. Kula sana vitunguu swahumu karato tangawizi mbichi ndizi matikiti pamoja na mboga za majani kwa wingi.

NB: JITAHIDI KUONDOA MSONGO WA MAWAZO
 
Akamuone daktari kwa ushauri zaidi,hyo inaweza kuwa ni impotence,mishipa ya kupeleka damu kwenye uume imelegea hivyo ni suala la kitaalamu kuweza kuihuisha,wkt mwngine punyeto inaweza kukufanya ukapoteza hamu ya kufanya mapenzi kitaalamu inaitwa loss of libido. Unajisikia kujichua tu kuliko kuwa na mwanamke, inaweza kuwa sababu ya jamaa kufika mapemaaaa na kushindwa kurudi tena.

Angalizo :dawa nyingi za kwenye mtandao na waganga wa kienyeji zina shida yake,wengi wamekua wajanja sana hasa baada ya kugundua tatizo la nguvu za kiume limeshakua janga kwa watu wengi.

Cha msingi ni kumuona dk.kwa matibabu na ushauri wa kitabibu.
 
Kula vyakula vya asili, tenga angalau nusu saa kila siku kwa ajili ya mazoezi ya viungo na punguza mawazo inaweza kukusaidia
 
Endelea na kamchezo kachafu kipindi ukipiga punyeto ulikuwa haujui madhara alfu huyo mwenzako akifanya mapenzi na mke wake anakuambia anapiga vingapi:crazy: .. mPM Mzizimkavu anakusaidia na uache uongo
 
erecto si suluhisho la kudumu...atulie awe huru ale vizuri na kisaikolojia akae sawa atakuwa vizuri
 
fanya mazoezi ndio suluhisho la pekee pia pangilia misosi usile tu kujaza tumbo kula strategically ili nguvu ziongezeke
 
Pole sn
Ila hilo ni tatzo ambalo linatbka
Chamsing kwanza ufanye vipimo tuone umeathirika kwa kiwango gani.
Me sitaongea sana wewe ingia Google andika Green World Vigpower utaisoma maelezo yake pia ukiitaka kwa ilivyoelezewa kwa kiswahili whatsup me 0714.912.390 nitakutumia......hii itakusaidia sana nakupona kbsa
 
Naombeni msaada ndugu walau ndoa yake idumu.[/QUOTE]Mkuu Mlafu ikiwa ndio wewe au rafiki yako kama ni kweli rafiki yako ana hilo tatizo lake mwambie anitafute dawa ya kumaliza tatizo lake ninayo akihitaji abonyeze hapa. Mawasiliano
 
BORESHA NA RUDISHA NGUVU ZA KIUME NDANI sYA NDOA YAKO URUDISHE FURAHA YA NDOA!

Katika tafiti za sasa zinaonesha kuwa tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume ni la kawaida maana tafiti zinaonesha kwamba ni asilimia 4 tu ya watu duniani wanafurahia tendo la ndoa ipasavyo wengine huishi kwa shida kabisa bila kushiriki tendo la ndoa ya kushiriki chini ya kiwango.
Mazingira magumu ya kazi, vyakula tunavyokula, hewa tunayo vuta, changamoto za kifamilia yote haya HUPELEKEA WATU KUKOSA SHAUKU YA TENDO LA NDOA, NA USIPO LIWAHI UNAWEZA KUPATA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO.

SASA JIPATIE BIDHAA AMBAYO IMETENGENEZWA KWA MIMEA ASILI AINA KUU TATU NA VIUMBE WA BAHARINI WAJULIKANAO KAMA PIPE FISH IKAWA DAWA MOJA ASILI YENYE VIDONGE 4 TU UTAFURAHIE RADHA YA NDOA YAKO BILA MADHARA.

1. SYNGNATHUS
Hawa ni samaki wajukikanao kama pipe fish kutokana na umbo lao refu hupatikana baharini na upatikanaji wake ni mgumu sana kwani huogelea ndani kwa ndani hivyo kufanya bidhaa hii iqw adimu sana.
Samaki hawa tafiti zinaonesha kuwa zinasafisha figo na kuimarisha kazi ya figo na kukupa uimara wa tendo la ndoa ambao ulikuwa umedhoofika kwa kudhoofika kwa figo.

Hivyo samaki hawa huvuliwa ,husafishwa,hukaushwa na kutengenezwa katika unga kisha huchanganywa na mimea mingine kutengeneza vidonge vya asili kabisa.

2. EPIMEDIUM

Hii ni mimea ambayo ina maajabu yake na imekuwa kama lulu nchini china na maajabu yake ni pale hata mifugo inapotumia mimea hio katika malisho imeonesha kuwa na shauku kubwa ya kufanya tendo la ndoa zizini.
Sasa mimea hii baada ya kuwekwa kwenye TAFITI MAAJABU YAKE YAMEFICHUKA KUWA NA FAIDA KUBWA SANA KATIKA MWILI WA BINADAMU KATIKA MAGONJWA HAYA.

~Inaongeza SHAUKU YA TENDO LA NDOA (LIBIDO)
~INAONGEZA MBEGU ZA KIUME (SPERMS) NA VICHOCHEO VYA KIUME YANI TESTOSTERONE
~INAONGEZA SHAUKU YA TENDO LA NDOA AMBALO UTAFURAHIA TENDO LA NDOA MUDA WOWOTE NA SEHEMU YOYOTE BILA HOFU KABISA.
~INAONGEZA UWEZO WAKO WA KUWEZA KURUDIA TENDO LA NDOA MARA NYINGI UWEZAVYO

MORINDA OFFICINALIS

Hii pia ni mimea asili ambayo imekuwa ni kipaumbele jatika tafiti mbali mbali za mimea asili kwenye kutibu nguvu za kiume.
Mimea hii imeonesha uimara wake kwenye kufanya jazi hizi

~Kutibu kabisa tatizo la kutopata mtoto
~kutibu kabisa matatizo ya uhanisi
~Kutoa mbegu za kiume nyingi kiwango cha kutosha kutungisha mimba.
~Kufika kilele HARAKA kabla ya nwezi wako na kushindwa kuendelea (pre mature ejaculation)

4. BUTEA SUPERBA

Hii pia ni mimea asili ambayo hupatikana sana katika nchi za thailand na china pia india.
Mimea hii imenesha tafiti kuwa inauwezo wa kuzuia PDE5 na kuwengeza kiwango cha damu kinacho kimbia sehemu za siri na kukupa nguvu za kutosha kuendelea kufurahia tendo la ndoa. Kumbuka bidhaa hii inafanya yote haya bila kuathiri mfumo wa fahamu kama bidhaa zingine za kemikali zinavyo athiri wakati zinafanya kazi.

HIVYO MPENDWA MIMEA YOTE HIO IMEHIFADHIWA KATIKA KIDONGE KIMOJA TU KATIKA TECKNOLOJIA YA KISASA.

DOSE: DOSE NI VIDONGE VINNE TU

MATUMIZI: UNAKUNYWA KIDONGE KIMOJA KILA SIKU (500mg) MASAA MATATU BAADA YA CHAKULA CHA USIKU.

Imetolewa na
Khalid Gugu

DAR ES SALAAM PIGA SIMU 0714 206 306

POPOTE ULIPO UTAPATIWA BIDHAA HII RAFIKI WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZO

USISAHAU KULIKE PAGE YANGU AFYA YA UZAZI NA USHAURI facebook page
 
Dose
1. Fanya mazoez ya kutosha ( misuli ita kakamaa yenyewe) ukishibdwa kujisimamia mwenyewe nenda ata gym za kisasa utakutana na walimu wa mazoez hasa ya kuimalusha misuli ya kiono na kunako.

2. Kula mlo kamili sio kila siku wali ukibadil ugal.

3. Ishi kwa furaha mwenyewe. ( ondoa mawazo ya kuwa una upungufu)

NB: Unaweza ondoa mawazo kwa kuenda sehemu ambayo unaona ww itakufanya ikili yako isiwaze chochote kama kuonana na marafiki na kuchil sehem nzur au ata kwa kutembelea sehemu ambayo huwa inaku inspire.
 
Dose
1. Fanya mazoez ya kutosha ( misuli ita kakamaa yenyewe) ukishibdwa kujisimamia mwenyewe nenda ata gym za kisasa utakutana na walimu wa mazoez hasa ya kuimalusha misuli ya kiono na kunako.

2. Kula mlo kamili sio kila siku wali ukibadil ugal.

3. Ishi kwa furaha mwenyewe. ( ondoa mawazo ya kuwa una upungufu)

NB: Unaweza ondoa mawazo kwa kuenda sehemu ambayo unaona ww itakufanya ikili yako isiwaze chochote kama kuonana na marafiki na kuchil sehem nzur au ata kwa kutembelea sehemu ambayo huwa inaku inspire.

Best comment. Big up mkuu, umenena points za muhimu sana
 
Akamuone daktari kwa ushauri zaidi,hyo inaweza kuwa ni impotence,mishipa ya kupeleka damu kwenye uume imelegea hivyo ni suala la kitaalamu kuweza kuihuisha,wkt mwngine punyeto inaweza kukufanya ukapoteza hamu ya kufanya mapenzi kitaalamu inaitwa loss of libido. Unajisikia kujichua tu kuliko kuwa na mwanamke, inaweza kuwa sababu ya jamaa kufika mapemaaaa na kushindwa kurudi tena.

Angalizo :dawa nyingi za kwenye mtandao na waganga wa kienyeji zina shida yake,wengi wamekua wajanja sana hasa baada ya kugundua tatizo la nguvu za kiume limeshakua janga kwa watu wengi.

Cha msingi ni kumuona dk.kwa matibabu na ushauri wa kitabibu.

Hapa kwenye suala la kumuona daktari, ni daktari wa nini ni sahihi kumuona. Kwa mfano matatizo ya kina mama wanamuona Gaenocologist. Je, kina baba wanamuona mtaalamu gani? Wapo hapa kwetu?
 
Back
Top Bottom