Msaada kuongeza kiwango cha mbegu za kiume

Kunawakati mm nashindwa kukojoa kwa Mara ya pili,uume unasimama vizur nikirudia cwez kojoa hadi namuumiza mwenzangu,huwa naamua kuacha je hii kanuni yako inaweza nisaidia
 
Ndugu sorry naomba nielekeze namna ulivyokuwa unatumia hizo dawa nimezitafuta nimeziona ila sijui namna ya kuzitumia hata muuzaji kaniuliza nimeshindwa kumjibu plz nakuomba nisaidie nina miaka 5 na hili tatzo
 
Hongera
 
Tafadhari naomba unijuze umezipata wap ndugu maana mimi nimeztafuta mno kwenye pharmacy za hapa jijin dar plz....
 
As
mnaz mmoja hapo ulizia au maeneo ya hospital ya almandal maduka ya waindi au wasiliana na pharmacy ya lumuma ipo nairobi search kwa mtandao
asante sana allah akupe kheri zote Insha-allah
 
Chemshaaziwa, changanya na tende ujazo wa viganja vilwili, maziwa yawe Lita moja, chemsha dakika 20 alafu ipua kunywa huo mchanganyiko mda wa siku tatu, ujazo wa kikombe cha kahawa, kila asubuh
 
Mkuu hizo dawa ulinunua wapi? Na ni bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…