Msaada kuongeza kiwango cha mbegu za kiume

Chukua mayai matatu ya kuku wa kienyeji pasua changanya na Asali vijiko vitatu....kunywa huu mchanganyo kwa siku saba....bro utakuwa umepona kabsaaaa....karanga ni sound tu zina mafta na mafuta sio yote yanayotumika mwilini....na matokeo yake ni kuziba mirja ya kutolea manii!
Kunawakati mm nashindwa kukojoa kwa Mara ya pili,uume unasimama vizur nikirudia cwez kojoa hadi namuumiza mwenzangu,huwa naamua kuacha je hii kanuni yako inaweza nisaidia
 
Sio wanaume wengi wana ujasiri wa kuongelea jambo hilo ila ni tatizo kubwa kwenye jamii. Nilikuwa na miaka mitano kwenye ndoa bila ya kupata mtoto. Well I had a similar problem. Afadhali wewe una 40% Mimi zilikuwa 10%. Doctor alinipa dawa aina mbili to take for 90 days Oligocare na Addyzoa. Pia niliambiwa nipunduze uzito kwani nilikuwa mnene kiasi. I now have two beautiful daughters.
Ndugu sorry naomba nielekeze namna ulivyokuwa unatumia hizo dawa nimezitafuta nimeziona ila sijui namna ya kuzitumia hata muuzaji kaniuliza nimeshindwa kumjibu plz nakuomba nisaidie nina miaka 5 na hili tatzo
 
Hongera
 
Tafadhari naomba unijuze umezipata wap ndugu maana mimi nimeztafuta mno kwenye pharmacy za hapa jijin dar plz....
 
As
mnaz mmoja hapo ulizia au maeneo ya hospital ya almandal maduka ya waindi au wasiliana na pharmacy ya lumuma ipo nairobi search kwa mtandao
asante sana allah akupe kheri zote Insha-allah
 
Chemshaaziwa, changanya na tende ujazo wa viganja vilwili, maziwa yawe Lita moja, chemsha dakika 20 alafu ipua kunywa huo mchanganyiko mda wa siku tatu, ujazo wa kikombe cha kahawa, kila asubuh
 
Sio wanaume wengi wana ujasiri wa kuongelea jambo hilo ila ni tatizo kubwa kwenye jamii. Nilikuwa na miaka mitano kwenye ndoa bila ya kupata mtoto. Well I had a similar problem. Afadhali wewe una 40% Mimi zilikuwa 10%. Doctor alinipa dawa aina mbili to take for 90 days Oligocare na Addyzoa. Pia niliambiwa nipunduze uzito kwani nilikuwa mnene kiasi. I now have two beautiful daughters.
Mkuu hizo dawa ulinunua wapi? Na ni bei gani
 
Back
Top Bottom