TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Habari, wakati tunaendelea kuchambua mkataba DP tuendelee na haya.
Mimi kipara kilianza nitokea mdogo, nikiwa na miaka 20 hivi nilianza ona dalili hizo. Niseme tu ni kitu ambacho kimenichukua miaka 3 hadi 5 kuwa na kipara kamili, ndio kitu ambacho kimeninyima na kilinyima sana point/confidence linapokuja swala la kumtokea mtoto mzuri sometimes anakwambia unakipara, wewe mkubwa n.k.
Nimekosa nacho raha na kujiapiza when it come issue ya kutibu kipara kwa gharama za kawaida nitafanya hilo kwakuwa sipendi kipara.
Hapa nilifatilia dawa moja kutoka Kenya kuna kliniki inatoa huduma hiyo lakini sina uzoefu na taarifa zaidi kuhusu hilo.
Wenye experience na hii huduma naomba more information kama madhara, ubora na kadhalika.