Nadhani ni kurithi au ukosefu wa virutubisho kichwaniKipi kinasababisha kipara kutokea je ni kupaka mafuta kichwani mara kwa mara? Au ni kurithi, au tatizo ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni kurithi au ukosefu wa virutubisho kichwaniKipi kinasababisha kipara kutokea je ni kupaka mafuta kichwani mara kwa mara? Au ni kurithi, au tatizo ni nini
Nimecheka sana hii sentence..confidence linapokuja swala la kumtokea mtoto mzuri somotimes akwambia unakipara , wew mkubwa n.k
Nilichogundua kwenye kuoga lile povu kichwani na unaposugua kichwa kinaondoka na nywele dhaifuKwahiyo mkuu nywele zilianza kudondoka mojamoja hadi ukajikuta upara huo au ilikuaje?
Mkuu tafuta hela maana ukiwa na hela hakuna bint atakuona na kipara yaani utaonekana na bonge la afro😄😄Habari , wakat tunaendelea kuchambua mkataba DP tuendelee na Haya
Mimi kipara kilianza nitokea mdogo mdogo nkiwa na miaka 20 hv nilianz ona dalili hzo niseme tuu nktu ambacho kimenichukua miaka 3 had 5 mitabo kuwa na kipara kamili sambamba ndio kitu ambacho kimeninyima na kilinyima sana point/ confidence linapokuja swala la kumtokea mtoto mzuri somotimes akwambia unakipara , wew mkubwa n.k
Nimekosa nacho Raha na kujiapiza when it come issue ya kutibu kipara kwa gharama za kawaida nitafanya Hilo kwakuw sipend kipara
Hapa nilifatilia dawa moja kutoka Kenya kuna kliniki inatoa huduma hiyo lakini sina uzoefu na taarifa zaidi kuhusu hilo.
Wenye experience na hii huduma naomba more information kama madhara, ubora na kadhalika.
View attachment 2656498
View attachment 2656499
Tafute hela kaka achana na mambo ya vipara huyo hapo tajiri na kipara chake na ana wakunja kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23]