Msaada: Kupaka mafuta ya dread

majid salim

Member
Joined
Dec 10, 2019
Posts
25
Reaction score
7
Habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi lakini sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mimi nilisokota na sabuni 2.

Sasa leo ndo nimenunua mafuta sasa ya dread sijui jinsi ya kutumia unatumia kila siku au katikati ya week au mwisho wa week.

Na je unaweza kupaka mwenyewe au unatakiwa uwe na mtu pembeni au hadi uende saloon msaada wenu tafadhali kwa mtu ambaye anajua.
 
Kama ndo umeanza
Kwa week mara 1 zikikomaaa unaweza fanya kwa mwez mara2 au 1 inategemea na muda wako au hata mara4 kwa mwezi

Ila kama ni ndefu ni vyema u style ili ziwe maridadi week nzima kabla ya kuosha tena.
 
Sasa unaweza kujipaka mwenyewe au had uend saloon za kwang bd ni fupi
 
sas unawez kujipak mwenyew au had uend saloon za kwang bd ni fupi
Kama hauwezi kunyonga mwenyewe nenda salon ni 10k kama una mafuta yako ni 8k

Ila kama unania ya kuji repear mwenyewe angalia tutorials youtube naimani utaweza
 
Kama ni vile vidogo kama uchafu[emoji38]
Nakushauri weka mafuta kinganjani mwako jizungushe mwenyewe mpaka zikomae na kurefuka mpaka ukikaribia kuunganisha ndo uanze kwenda salon
 
nilikuw natak nijifanyie mwenyew ili kuepush garam mafuta tayar nimesh nunua je unawez niambiy acont ya kutembelea you tube
 
Kama ni vile vidogo kama uchafu[emoji38]
Nakushauri weka mafuta kinganjani mwako jizungushe mwenyewe mpaka zikomae na kurefuka mpaka ukikaribia kuunganisha ndo uanze kwenda salon
😀😀 hay bhn shukrani
 
Samahani kidog kam unawez kunijib kam nilivo kuambiy mwanzo kwamba vyakwang ni vidog na ww ukaniashauri kam ni vidogo unawez ukaweka mafuta kwenye mkono wako na kujizungusha sas mm nilikuw natak 2 nijuw ni kila siku niwe napak au kila week samahani lakin kam ntakuw nakusumbua.
 
We paka kila kila baada ya sik3 au4 ili mafuta yafanye kazi
Naimani umeeelewa
 
Hiyo drade ni ya kichwa ama kwingineko? Tuanzie hapo kwanzs
 
inabidi awepo mtu wa kukupaka mzeeeiya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…