majid salim
Member
- Dec 10, 2019
- 25
- 7
Habari zenu wakuu nilikuwa nahitaji msaada wenu mm nimeanza kufuga dread na kama week ya 3 hivi lakini sijawahi kutumia mafuta yeyote yale coz mimi nilisokota na sabuni 2.
Sasa leo ndo nimenunua mafuta sasa ya dread sijui jinsi ya kutumia unatumia kila siku au katikati ya week au mwisho wa week.
Na je unaweza kupaka mwenyewe au unatakiwa uwe na mtu pembeni au hadi uende saloon msaada wenu tafadhali kwa mtu ambaye anajua.