msaada kupanda vitunguu

msaada kupanda vitunguu

Dangote

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
204
Reaction score
76
Jamani naomba msaada ukitaka kupanda vitunguu swaum utahitaji kilo ngapi ya mbegu kutosha ekari nzima,natanguliza shukrani
 
Andaa kitalu 90cm by 60cm, kitalu kisiwe sehemu inayotumaisha maji, baada ya wiki tatu hamisha miche ya vitungu ukapandikize shambani kwa vipimo vifuatavyo 15cm kati ya mstari na mstari 10cm kutoka mmea hadi mmea. Hakisha shamba lina samadi ya kutosha.
 
mkuu vitunguu swaumu vinakomaa baada ya muda gan km hutajal tumwagie maujuz na wengne 2faidke.na mbolea gn nzuri na maeneo ambayo n favorabla kwa zao hlo.natangulza shukran.
 
Ebu tuongezee ujuzi mathalani katika ekari 1 utahitaji mbegu kili ngapi kutosha ekari nzima?
 
Back
Top Bottom