Msaada: Kupandisha shetani ndio nini?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Nilikuwa nasikia tuu! Kapandisha shetani au naona kwenye video ila mwaka huu nilishuhudia live MTU akianguka mbele yangu tena sehemu ya hatari,cha ajabu alikuwa baunsa huyoo halafu anatoa sauti Nene mi nikajua vampire!Maswali najiuliza:
Ni kitu gani hiki?
Kinakuja wakati gani?
Kwa mini kinatokea?
Naona ni hatari kinakuja bila taarifa halafu mahali popote,tiba take nini?
Ahsante,nawasilisha...napenda kusikia sauti za madaktari kuhusu hili
HERI YA MWAKA MPYAaa kwa wana J.F woteeee
 
Mi nahisi ni kama mtu anarukwa akili tu kwa muda.
 
next time ukiona kapandisha tena piga yowe YESU NJOO, hapo hapo utaona anashusha mori mwenyewe. Au agiza kitimoto mpe sahani ale atapona fasta.
 
kwamba kupadisha shetani ni nini? Unalitaka hlo shetani? goja cku moja likukute ndo utajua maana ya kupandisha hlo shetani.
 
Kama hujawahi kuona watu wanavyohangaika na hii kitu unaweza usijue ilivyo.
Binafsi niliihamu vizuri hii hali kikiwa sekondari shule moja Pwani, ilikuwa inawashika sana wadada, boys mara moja moja inakuwa kama movie vile, ila Mungu mwema, kila alikuwa akiitwa walipona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…