No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,663
- 7,785
Nilikuwa nasikia tuu! Kapandisha shetani au naona kwenye video ila mwaka huu nilishuhudia live MTU akianguka mbele yangu tena sehemu ya hatari,cha ajabu alikuwa baunsa huyoo halafu anatoa sauti Nene mi nikajua vampire!Maswali najiuliza:
Ni kitu gani hiki?
Kinakuja wakati gani?
Kwa mini kinatokea?
Naona ni hatari kinakuja bila taarifa halafu mahali popote,tiba take nini?
Ahsante,nawasilisha...napenda kusikia sauti za madaktari kuhusu hili
HERI YA MWAKA MPYAaa kwa wana J.F woteeee