Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Wakuu habari za mda huu. samahani sana naomba kuulizia hivi nitaweza kupata wapi sehemu ya kusajili wazo langu yani idea yangu ya ubunifu. nataka nisajili idea ( Hati mmiliki ya wazo).
Nina kifaa cha umeme ambacho nimekitengeneza mimi mwenyewe.
ila na hofia naweza nikakipost au kukipeleka sehemu watu wakabeba idea yangu. alafu mimi nisifaidike na chochote kile.
nahitaji msaada wa maelezo wakuu kwa wenye kujua basi naomba anijulishe