Msaada: Kupata Idea nzuri kwa ajili ya Title project

Hahhh kujiajiri lazima,hapa ni project presentation tu.
Kwa Mimi ninafikiria ungefanya project (research) ambayo pia inaweza kukunufaisha pindi utapo ingia kitaaa au project inayohusiana na kitu unachotarajia kufanya kukuingizia kipato pindi utakapo maliza chuo ,hayo Ni mawazo yangu tu
 
Aisee we jamaa fikilisha akili wewe kama ww au fanya research itakayokusaidua badae hata ukimaliza chuo, kwa huu mwanzo ushafika hadi huku kuomba msaada ni dhahiri kuwa badae pia utahitaji usaidiwe final project semister 2!
 
Mzee tushaumiza vichwa zinakataliwa zote
 
Kwa Mimi ninafikiria ungefanya project (research) ambayo pia inaweza kukunufaisha pindi utapo ingia kitaaa au project inayohusiana na kitu unachotarajia kufanya kukuingizia kipato pindi utakapo maliza chuo ,hayo Ni mawazo yangu tu
Mkuu usichojua ni kwamba ukipeleka title hizo na kupresent kisha ukawa awarded inabaki kuwa mali ya chuo na si yako tena.
 
Ungekuwa usoma general compt science au IT ningekupa idea Kam zte ,hko kweny multimedia Msala,

mm mwenyew ndo npo kweny kusubmit title za project
 
Nipe idea pole haisadii
Nakumbuka miaka ya nyuma tittle yetu ilikataliwa, ila tulienda itetea ofisini kwa waalimu mpaka wakaelewa.

Nachokushauri kama mna amini tittle iko poa, fanya juu chini ku i deffend waikubali tafuteni maneno mazuri ya kuwafanya waamini ni unique

Na sio lazima iwe unique, mfano kuna watu walifanya project (fyp) kutoa mapungufu ya sr1 and finance systems na kuongezea some contents then walikuwa awareded pia
 
Ok mkuu
 
Kijana wewe ndio yule project tittle yakoo ni..

NYUMBA NI CHOO
Nimeona mkipigwa ban
 
Ungekuwa usoma general compt science au IT ningekupa idea Kam zte ,hko kweny multimedia Msala,

mm mwenyew ndo npo kweny kusubmit title za project
Ndugu Kama una ideas kuhusu IT unaweza share nami naitaji.
 
Project tittle.
“ The use of innovative methodology (multimedia technology) in increase teaching and learning process in secondary education in Tanzania.

Haya chambua hapo upate heading nzuri au project tittle
Tittle nzuri ni ile ambayo mnaishap na supervisor wako. Siyo zambi kwa supervisor na mwanafunzi kukaa na kusharp tittle. Humu utingizwa chaka tu
 
Back
Top Bottom