Msaada kupata kazi ya uvuvi

Kak naitaji ya kwenda kuvua yani hata ya kufanya miezi kama 4
Bw mdogo pole.
Vip pikipiki ulikosa ya mkataba?? Shughuli za Uvuvi siyo mchezo na mara nyingi shughuli za Pwani/ uvuvi ukizianza baaaasi wewe unakuwa mlowezi.
Kazi za Madini.
Kazi za Uvuvi.
Kazi za kukata magogo msituni.
Ndugu yangu hizi kazi ukiingia unajiondoa kwenye Ulimwengu wa Binadamu unakuwa mtu wa kujitenga sana.
 
Du,kak unanitisha sasa mbona wadau humuhuwa wanasema KAZI hii inalipa sana
 
Piki piki nikikosa mana Nina akiba ya 250k ,ila kwenye kampuni ya WATU CREDIT wanataka kianzio 400k apo bola nijitafute alafu ndio NIENDE kuchukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…