Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,037
- 767
nitumie email yako nikutumie kitabu chenyewe sasa hiviHabari wana JF? Naomba msaada wa jinsi ya kupata kitabu cha Satanic Verses cha Salman Rushdie.
Kama kuna mtu mwenye link ya kuniwezesha kupata kitabu hiki tafadhali!!
shukrani na mimi nilikuwa nakihitaji sana
Asome akielewe, kama hakutoka kapa, sijui...! Ah ah ah ah ah!Kisome uwaelemishe ndugu zako,Ila usiende Biafra na Manzese kwenye "Biblia ni Jibu" Wasije wakakuchomea ndani ya nyumba!!Hawana adabu wale.....
Asome akielewe, kama hakutoka kapa, sijui...! Ah ah ah ah ah!
Nakutisha, what do u mean?Mbona unatutisha weye