Msaada kupata kitabu cha Satanic Verses

Msaada kupata kitabu cha Satanic Verses

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,037
Reaction score
767
Habari wana JF? Naomba msaada wa jinsi ya kupata kitabu cha Satanic Verses cha Salman Rushdie.

Kama kuna mtu mwenye link ya kuniwezesha kupata kitabu hiki tafadhali!!
 
Habari wana JF? Naomba msaada wa jinsi ya kupata kitabu cha Satanic Verses cha Salman Rushdie.

Kama kuna mtu mwenye link ya kuniwezesha kupata kitabu hiki tafadhali!!
nitumie email yako nikutumie kitabu chenyewe sasa hivi
 
Ah ah ah ah, ebu kisome uje utufahamishe kstory za kina Saladin Chamcha (Chamchawala), Novak, Black Maria, Joe Bruno wanasemaje.
 
Kisome uwaelemishe ndugu zako,Ila usiende Biafra na Manzese kwenye "Biblia ni Jibu" Wasije wakakuchomea ndani ya nyumba!!Hawana adabu wale.....
Asome akielewe, kama hakutoka kapa, sijui...! Ah ah ah ah ah!
 
Back
Top Bottom