mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Very healthy man..... Gari haizimiki baada ya bao la kwanza....Kwa kawaida uume kusimama kwa mara ya pili after first ejaculation in normal health man, ranging between 5-10 minutes.
Prostate aerobic download kwenye smartphone yoyote itakusaidia sana ina maelekezo yoteHabari zenu wanajamvi...
Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu upya? Nimeuliza hili swali maana mimi huwa inanichukua saa moja hadi matatu na siku zingine hadi usiku wa manane kupata nguvu upya (erection), jambo hili linasababisha girlfriend wangu kupata aibu ya kusubiria awamu ya pili.
Hamna hakikisha kila unapomaliza kuscore unajisafisha vizuri halafu anakusaidia kutafuta nauli ya kuanza safari mpya tena mnachezeana sana tu. ...USAFI muhimu ili kinyaa kisiwepo. ...Duh mzee wengine hata mic iwe kavu safi kbs wanaona uchafu sembuse iwe imetoka mgodini kuchimba nahisi atadai talaka[emoji2]
Mr anapotaka kufanya tendo la ndoa hatakiwi kuwa ameshiba wala awe na njaa.... Na muhimu sio kupiga bao nyingi bali kum-satisfy your partner.Inategemea na Maumbile ya mtu. ...mfano mimi huwa naunganisha cha kwanza na cha pili...ila jitahidi uwe Umeshiba kabla ya mzigo. ..usiwe na uchovu wala mawazo mengine. ...mawazo yote yawehapo tena ikibidi mwambie unaposhusha mzigo aanze kuongea na mic. ...
Mh asikusahau tena kwan we ke?dawa hii hapa, kula kitunguu swaumu punje tano kila siku asubuhi,
kula punje 4 za mlonge daily na unga wa majani yake weka hata kwa supu ya samaki au uji, (hapa unawezakuhara kiasi, nikawaida)
kila baada ya tendo lamba asali safi original. pia pendelea kutumia asali kwenye mambo yako mengi.
matunda kwa wingi na juice za asili,
punguza prodect za kiwandani kwa asilimia kubwa tuu hasa vinywaji vya soda ikiwezekana punguza pombe na sigara acha kabisaa kama mtumiaji.
hivo vyooote vikishindwa tafuta unga wa mti unaitwa mdinda dinda , weka katika chai , tumia asubuhi na jioni.
Angalizo{ hivo vitu sio vya kutumia wiki moja halafu utake matokeo la hasha tumia kwa mda mrefu iwezekanavyo, na maybe ua life time, maana inatibu na mengineyo.
ukifanikiwa please usinisahau. katika ufalme wako
Nadhani karanga na vitunguu swaumuHabari zenu wanajamvi...
Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu upya? Nimeuliza hili swali maana mimi huwa inanichukua saa moja hadi matatu na siku zingine hadi usiku wa manane kupata nguvu upya (erection), jambo hili linasababisha girlfriend wangu kupata aibu ya kusubiria awamu ya pili.
Mbona akina mama mnajipendelea!! Kumbuka na wanaume wanahitaji satisfaction. Na pia tunatofautiana mwingine satisfaction yake akamue zaidi ya moja so kila mtu ana style yake yankuridhika sio kwamba ejaculation ndo standard ya kila mtu kuridhika.Mr anapotaka kufanya tendo la ndoa hatakiwi kuwa ameshiba wala awe na njaa.... Na muhimu sio kupiga bao nyingi bali kum-satisfy your partner.
dawa hii hapa, kula kitunguu swaumu punje tano kila siku asubuhi,
kula punje 4 za mlonge daily na unga wa majani yake weka hata kwa supu ya samaki au uji, (hapa unawezakuhara kiasi, nikawaida)
kila baada ya tendo lamba asali safi original. pia pendelea kutumia asali kwenye mambo yako mengi.
matunda kwa wingi na juice za asili,
punguza prodect za kiwandani kwa asilimia kubwa tuu hasa vinywaji vya soda ikiwezekana punguza pombe na sigara acha kabisaa kama mtumiaji.
hivo vyooote vikishindwa tafuta unga wa mti unaitwa mdinda dinda , weka katika chai , tumia asubuhi na jioni.
Angalizo{ hivo vitu sio vya kutumia wiki moja halafu utake matokeo la hasha tumia kwa mda mrefu iwezekanavyo, na maybe ua life time, maana inatibu na mengineyo.
ukifanikiwa please usinisahau. katika ufalme wako
[emoji2] [emoji2] [emoji2]tafuta pilipilivpaka kichwa cha fushelele lako na zingine utafune. litaamka ndani dakika 5 uendelee na game