Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

Kwa kawaida uume kusimama kwa mara ya pili after first ejaculation in normal health man, ranging between 5-10 minutes.
Very healthy man..... Gari haizimiki baada ya bao la kwanza....
Ordinary man.... 5-10 minutes baada ya bao la kwanza....
Unhealthy man..... Massaa 3-6 baada ya bao la kwanza
Sick man... ..bao la kwanza ndani ya Dk 5 na baada ya hapo hakuna kazi mpaka siku ya pili.
 
Habari zenu wanajamvi...

Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu upya? Nimeuliza hili swali maana mimi huwa inanichukua saa moja hadi matatu na siku zingine hadi usiku wa manane kupata nguvu upya (erection), jambo hili linasababisha girlfriend wangu kupata aibu ya kusubiria awamu ya pili.
Prostate aerobic download kwenye smartphone yoyote itakusaidia sana ina maelekezo yote
 
Duh mzee wengine hata mic iwe kavu safi kbs wanaona uchafu sembuse iwe imetoka mgodini kuchimba nahisi atadai talaka[emoji2]
Hamna hakikisha kila unapomaliza kuscore unajisafisha vizuri halafu anakusaidia kutafuta nauli ya kuanza safari mpya tena mnachezeana sana tu. ...USAFI muhimu ili kinyaa kisiwepo. ...
 
Inategemea na Maumbile ya mtu. ...mfano mimi huwa naunganisha cha kwanza na cha pili...ila jitahidi uwe Umeshiba kabla ya mzigo. ..usiwe na uchovu wala mawazo mengine. ...mawazo yote yawehapo tena ikibidi mwambie unaposhusha mzigo aanze kuongea na mic. ...
Mr anapotaka kufanya tendo la ndoa hatakiwi kuwa ameshiba wala awe na njaa.... Na muhimu sio kupiga bao nyingi bali kum-satisfy your partner.
 
Rafiki kikubwa ni aina ya chakula inachangia sana...hasa vyakula vya wanga kwa wingi...badilisha maisha yako kwanza
 
dawa hii hapa, kula kitunguu swaumu punje tano kila siku asubuhi,
kula punje 4 za mlonge daily na unga wa majani yake weka hata kwa supu ya samaki au uji, (hapa unawezakuhara kiasi, nikawaida)
kila baada ya tendo lamba asali safi original. pia pendelea kutumia asali kwenye mambo yako mengi.
matunda kwa wingi na juice za asili,
punguza prodect za kiwandani kwa asilimia kubwa tuu hasa vinywaji vya soda ikiwezekana punguza pombe na sigara acha kabisaa kama mtumiaji.
hivo vyooote vikishindwa tafuta unga wa mti unaitwa mdinda dinda , weka katika chai , tumia asubuhi na jioni.
Angalizo{ hivo vitu sio vya kutumia wiki moja halafu utake matokeo la hasha tumia kwa mda mrefu iwezekanavyo, na maybe ua life time, maana inatibu na mengineyo.
ukifanikiwa please usinisahau. katika ufalme wako
Mh asikusahau tena kwan we ke?
 
Habari zenu wanajamvi...

Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu upya? Nimeuliza hili swali maana mimi huwa inanichukua saa moja hadi matatu na siku zingine hadi usiku wa manane kupata nguvu upya (erection), jambo hili linasababisha girlfriend wangu kupata aibu ya kusubiria awamu ya pili.
Nadhani karanga na vitunguu swaumu
 
Mr anapotaka kufanya tendo la ndoa hatakiwi kuwa ameshiba wala awe na njaa.... Na muhimu sio kupiga bao nyingi bali kum-satisfy your partner.
Mbona akina mama mnajipendelea!! Kumbuka na wanaume wanahitaji satisfaction. Na pia tunatofautiana mwingine satisfaction yake akamue zaidi ya moja so kila mtu ana style yake yankuridhika sio kwamba ejaculation ndo standard ya kila mtu kuridhika.
 
Zoezi +kitunguu saum+asali+tangawizi+mdalasini+habat soda+ tikitiki maji= tatizo lako litakua limeisha kwa 100% Urudi na mrejesho ili wengine wafaidike.
 
dawa hii hapa, kula kitunguu swaumu punje tano kila siku asubuhi,
kula punje 4 za mlonge daily na unga wa majani yake weka hata kwa supu ya samaki au uji, (hapa unawezakuhara kiasi, nikawaida)
kila baada ya tendo lamba asali safi original. pia pendelea kutumia asali kwenye mambo yako mengi.
matunda kwa wingi na juice za asili,
punguza prodect za kiwandani kwa asilimia kubwa tuu hasa vinywaji vya soda ikiwezekana punguza pombe na sigara acha kabisaa kama mtumiaji.
hivo vyooote vikishindwa tafuta unga wa mti unaitwa mdinda dinda , weka katika chai , tumia asubuhi na jioni.
Angalizo{ hivo vitu sio vya kutumia wiki moja halafu utake matokeo la hasha tumia kwa mda mrefu iwezekanavyo, na maybe ua life time, maana inatibu na mengineyo.
ukifanikiwa please usinisahau. katika ufalme wako

Duuh! Asikusahau katika ...Ufalme wake....! Kwa hiyo umesaidia kusukuma gari ili likiwaka udandie?
 
Mwambie na mwanamke ajishughulishe. Sio mshedede ukisinyaa baada ya bao la kwanza basi na yeye anabweteka hajui nini afanye.
Mwambie baada ya goli la kwanza asisubirie jogoo aamke by default, aanze kumuamsha kwa kumlambalamba na kuyachezea yale manyanga
 
Kiongoz hiyo ni issue ya saikolojia... Ushajiwekea kwa ubongo huwez na ulakini na inatokea kweli... Jiwekee kichwan unaweza m sure kila nusu saa utapiga mzigo... Ondoa doubt kwa ubongo wako hiyo ni dawa tosha
 
Kingine hapo unaposema unachukua masaa kuinuka nikuulize swali jeeeh ukitoka akija demu mwengne utachelewa kusimamisha au unaweza piga shoo!?
 
Hili tatizo ni common kwa wanaume wengi kuanzia miaka 25 na kuendelea na kwa tafiti tulizofanya tumebaini kuwa sababu kubwa ni pale mwanaume anapopiz ndani ya uke na kuufanya kuwa na uteute mwingi kupita mahitaji na mara nyingi baada ya ejakulation mwanaume akipull na kupush dick yake wakati kumeloa sana shahawa zake humwathiri kisaikolojia kuwa anachokifanya si sahihi!
Kwa wanaotumia kondom au withdraw method huwa hawakumbi na hilo tatizo kwa sababu nilizozitaja juu!
Mpaka sasa tiba kamili haijagundulika bali cha msingi ni kujitahid kunywa maji mengi sana kila siku not bellow3 lt matunda na vyakula vyenu protein kwa wingi bila kusahau kuwa stress ujitahd ziwe mbali na mara zote si ktk match tu.
 
Hapo siyo girlfriend wako anayepata aibu, ni wewe ndiyo unayeaibika kwa kuchelewa kusimamisha tena... pole sana... mara nyingi inatakiwa isizidi dakika 15...
 
Kama Mjanja na Mzoefu Wa Kucheza Gemu Basi Bao Moja unamuacha Mtoto Chali "Anakuuliza Babe Nimefikaje hapa?"....
Kugonga Si Bao Nyingi, Bali Ni Kumridhisha Mwenza Wako ....
Na hayo Huanza Katika Kumuandaa. ..
Muandae Vizuri Mwenza Wako! Trust me Utamridhisha Kwa Bao moja tu...
 
Back
Top Bottom