Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

Msaada: Kupata nguvu upya baada ya bao la kwanza (Getting an erection after ejaculating)

mimi huwa sina papara nikishauloweka ndani naucha humo huku nikimchezea mtoto na kupiga stori kama nusu saa!baada ya hapo ikiwa dushe bado iko ngangari ndio naanza kupeleka moto dkk5 wazungu hao ila simwagii ndani nautoa naufuta afu naendelea hapo atafurahi mwenyewe ni lisaa!napiga kipande huku nasoma JF
Kwa hiyo...hutumii kondomu?
 
Vijana wa vilaini bana mnashida sana....vijana wa chipsi yai,kuku wa wiki wa arv.....vijana wa moko kwishneri hadi starter au booster...
 
Mr anapotaka kufanya tendo la ndoa hatakiwi kuwa ameshiba wala awe na njaa.... Na muhimu sio kupiga bao nyingi bali kum-satisfy your partner.
Yawezekana wewe ni wa Dar. ...maana huwa mnajifariji kwa kula vichips halafu unataka kupiga bao kumi. ......kula sana fanya mazoezi sana uwe fiti. ...kwa taarifa yako kuscore goal moja ni sawa na kukimbia 7km bila kusimama tena ukiwa na mzigo. .....sasa hiyo safari unadhani unaiweza kwa chipsi? ??
 
Habari zenu wanajamvi...

Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu upya? Nimeuliza hili swali maana mimi huwa inanichukua saa moja hadi matatu na siku zingine hadi usiku wa manane kupata nguvu upya (erection), jambo hili linasababisha girlfriend wangu kupata aibu ya kusubiria awamu ya pili.
fuatilia kitu inaitwa kegel mzee inasaidia sana..ukiona inakushinda kuna hadi app yake playstore how to apply
 
Habari zenu wanajamvi...

Ninalo tatizo la kupata nguvu upya (erection) hasa baada ya bao la kwanza (ejaculation). Je kwa kawaida kwa mwanaume inatakiwa kusubiri kwa mda gani ili kupata nguvu upya? Nimeuliza hili swali maana mimi huwa inanichukua saa moja hadi matatu na siku zingine hadi usiku wa manane kupata nguvu upya (erection), jambo hili linasababisha girlfriend wangu kupata aibu ya kusubiria awamu ya pili.
Fanya mazoezi ya kegel mkuu ni solution tosha
 
Mbona akina mama mnajipendelea!! Kumbuka na wanaume wanahitaji satisfaction. Na pia tunatofautiana mwingine satisfaction yake akamue zaidi ya moja so kila mtu ana style yake yankuridhika sio kwamba ejaculation ndo standard ya kila mtu kuridhika.
Mm sio mama.... Mm ni mwanamme kuliko wewe... Kwa nini kuliko wewe... Kwa sababu mwanamme aliokamilika anatakiwa amridhishe mwenza wake katika tendo... NDO NJIA PEKEE YA KUMDHIBITI MWANAMKE... Sio pesa wala umaarufu. Ukilenga kuridhishwa na wanawake ujuwe wewe ndo utadhibitiwa ...na siku ukikimbiwa ndo unakunywa sumu. Take care and be a real man.
 
Yawezekana wewe ni wa Dar. ...maana huwa mnajifariji kwa kula vichips halafu unataka kupiga bao kumi. ......kula sana fanya mazoezi sana uwe fiti. ...kwa taarifa yako kuscore goal moja ni sawa na kukimbia 7km bila kusimama tena ukiwa na mzigo. .....sasa hiyo safari unadhani unaiweza kwa chipsi? ??
Adolph hujanielewa..... Sikusudii ule kidogo... Kula chakula asilia... Shiba vizuri... Halafu pumzika... Pisha digestion i-take place.... Then ingia kwenye game... Chakula unacho lakini kiko kwenye damu.... Ndio kitatumika wakati wa action....
Kumbuka :kupiga mzigo wakati tumbo limejaa chakula kunapunguza nguvu za kiume.
 
Mm sio mama.... Mm ni mwanamme kuliko wewe... Kwa nini kuliko wewe... Kwa sababu mwanamme aliokamilika anatakiwa amridhishe mwenza wake katika tendo... NDO NJIA PEKEE YA KUMDHIBITI MWANAMKE... Sio pesa wala umaarufu. Ukilenga kuridhishwa na wanawake ujuwe wewe ndo utadhibitiwa ...na siku ukikimbiwa ndo unakunywa sumu. Take care and be a real man.
Sijamaanisha ww ni jinsia ya kike ndg nichomaanisha ni mtazamo wako kana kwamba mwanaume kazi yake ni kumridhisha mwanamke unasahau hata yy anatakiwa kuridhishwa na ana vigezo na vionjo vyake.

Pili naunga mkono tujifunze kuwaridhisha wenzi wetu ila usijidanganye kuwa ndo kigezo cha kutochepuka. Watu wanachepuka bro kwa sababu kibao. Unawezakuwa mzuri kitandani lkn unamjaza stress za maisha na uko tegemezi kwa mwanamke au uko too much wivu unamind vitu vdg over reactions kibao we jisifie tu ati unamridhisha ukijua uko pekeyako.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Ukitoka kwenye muangauko yako,pumzika kama dk 10 yani lala kidogo,kisha endelea na mambo ya home,wew tatizo lako ni mawazo,pia pendelea sana kula tende na mziwa fresh,badhani ukifanta hivyo tatizo litakuwa limeisha
 
mimi huwa sina papara nikishauloweka ndani naucha humo huku nikimchezea mtoto na kupiga stori kama nusu saa!baada ya hapo ikiwa dushe bado iko ngangari ndio naanza kupeleka moto dkk5 wazungu hao ila simwagii ndani nautoa naufuta afu naendelea hapo atafurahi mwenyewe ni lisaa!napiga kipande huku nasoma JF
umejianika vibaya ndugu, wanawake waje hapa waeleze, jamaa anajisifia kuwa yeye yuko safi na akipeleka moto anapizi dakika 5. wanawake huwa mnadhirishwa kwa dakika tano au jamaa naye anahitaji msaada wa doctor mapema? kwasababu kwa kawaida, mimi binafsi huwa nafikia dakika kumi na tano, ishirini hadi nusu saa. nikiona kitu kinataka kuja kabla ya hapo, napotezea mawazo au kuna namna ya kucontrol afu wazungu wanaahirisha kuja hapo ujue naanza upya kimtindo fulani hivi hadi nione mtu ananibana na kunifinya najua yeye tayari anataka kuja ndo na mimi narudisha mawazo yote na kumaliza game kwa raundi husika.
 
Bia zinapunguza uwezo wa kwenda masafa marefu, kama mtumia. Punguza au acha kabisa. Utaenjoy.
 
Punguza pia tention kabla,baada na wakati watendo hii pia huchangia kunakipindi ilinitokea sana ila nilipokuja kugundua nikawa poa sometimes in good mood naunganisha hata viwili trust me labda kama unatatizo lingine kikubwa zingatia sana maandalizi hata bao moja wanaridhizikaga wengine!!NB utamu wa kufanya mapenzi ni ejaculation tu
Ni kweli unaweza kupiga moja kama tatu
 
inategemea na mtu unatefanya naye pole sana kiongozi me kuna mwanamke nikipiga kimoja tu cha pili labda nirogwe jamaa hataki kuamka kabisa yani mpaka asubuhi labda ila kuna mtoto mmoja yani hata nikiongozana naye barabarana dushe inasimama simama nikiwa naye uwanjan sasa bao la kwanza daki15 hadi 30 bado la pili dakika45 hapo mtoto hai namm dushe bado ipo high ila huyo mwingine japo amejazia jazia si haba amemzie huyo mwngine lakin dushe yake haimtaki kabisa kwanza kibox chake huwa hakinivutii hata kwa kukiangalia kwa macho
 
Back
Top Bottom