Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
- Thread starter
-
- #41
Mkuu, Utakufa kwa presha!MKUU
Mkuu hivi unafahamu namna ya kuhack mawasiliano upande wa sms kwa kisimu cha batani, yaani akitumiwa sms na mimi naiona au naipata
Nishazoea but nayaka kujiridhisha kwa huyu ninayetaka kumuoa, hata usijari sina pressure yoyoteMkuu, Utakufa kwa presha!
Nitakufuata inbox.
Daaaah, wangerudi kama zamani maana jukww bado linawahitajiWapo manguli wengi, Lakini hawajibu kwa sababu:-
1.Wamebanwa na majukumu.
2.Ya kuhofia usalama wao.
3.Wanajisikia sana.
4.Wanataka ankara ila wanavunga.
Naam, Watakapotambua thamani yao ni ipi kwa wahitaji bila shaka watarejea kundini.Daaaah, wangerudi kama zamani maana jukww bado linawahitaji
Mkuu na mm nahitaji elimu kdogo hapaMkuu, Utakufa kwa presha!
Nitakufuata inbox.
Sifi mkuu wangu, Ila cha moto lazima nikione.Mkuu na mm nahitaji elimu kdogo hapa