X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #21
Nitafanyia kazi maoni yako. Ndugu yanguWe jamaa bhana...
Unataka ufwate DM kwamba njoo kwenye hii Actros nyeupe hapa ubungo?
Maisha hayapo hivo, nenda yanakoshinda magari husika, wapo watu wengi tu utakutana nao na utajua kama kweli utaweza au uendelee na haraki zingine.
Nla