Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni kwa mihangaiko ya kutwa. Ji mambo/sababu zipi zinazopelekea ama kusabisha mwanamke kupoteza hisia za mapenzi?
Dawa ya Kuamsha hisia za Mapenzi fanya hivi:Poleni kwa mihangaiko ya kutwa. Ji mambo/sababu zipi zinazopelekea ama kusabisha mwanamke kupoteza hisia za mapenzi?
Dawa ya Kuamsha hisia za Mapenzi fanya hivi:
Juisi ya tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali Safi ya nyuki. atumie kila siku kwa muda wa mwezi mmoja.
Dawa ya Kuamsha hisia za Mapenzi fanya hivi:
Juisi ya tangawizi nusu kijiko pamoja na yai nusu iliochemshwa na Asali Safi ya nyuki. atumie kila siku kwa muda wa mwezi mmoja.
Mkuu St.Apolinary ninaongea vile kama utani sio kweli.Ni kweli au unaongea tu
Unaweza kutumia Mara moja kwa kutwa au mara mbili Asubuhi na usiku pia ukipata yai la kuku wa kienyeji itakuwa ni bora zaidi na Asali upate Asali Safi sio asali Feki.Ahsante mkuu
Na ni nini kinachosababisha hali hii kutokea??
Na hiyo DAWA inatumikaje......mara moja kwa kutwa or?