Msaada kupunguza unene

Msaada kupunguza unene

Mazoezi ya kutembea haraka dak 150/wiki (23 minutes per day)
Aina 5 Matunda kwa wiki
Mboga za majani kwa wingi
Usile Vyakula vya viwandani
Acha kula nyama nyekundu/ nyeupe ( ng'ombe,kitimoto, kuku)
Kula samaki tu ( mchemsho)
Acha kula vyakula vya mafuta mengi ( acha kula chips)
Kunywa maji ya kutosha
Usiache mazoezi, fanya mazoezi kila siku
Good luck
 
Asante
 
Subiri mtoto amalize kunyonya ndipo ufanye hiyo program. Kwa ufupi chakula cha usiku/jioni ni moja ya chanzo. Maana tunakula saa3 wengine hata 4 na kuendelea kisha wanalala. Kumbuka calories hizo hazijatumika popote ila ukiamka tu unapiga chai tena maana mfuko wa chakula ukuwa empty basi kujisikia uhitaji wa kula ni lazima so utakula na mchana utakula tena. Ss ukiangalia ktk ratiba ya ulaji utaona ni afadhali chakula cha asbh na mchana kwani mwili hua active yaani unakua unajishughukisha hivyo unachoma zile calories tofauti na chakula cha usiku. Ss ukimaliza kunyonyesha anza kupunguza sana vyakula vya wanga na sukari tumia matunda na mboga za majani. Na ukimaanisha utaweza kabisa kuacha kula wanga usiku.

Pia kama ambavyo wameshauri baadhi ya wadau ujitahidi ss kufanya mazoezi. Mazoezi mazuri ni kutembea ukiweza kufanya hivyo na kutumia maji mengi ya kunywa utapungua tu. Mm hufanya hivyo ili kudhibiti mwili/uzito
 
Amalinze unamhukumu Dada wa watu bure usikute mke wa mtu tena anajiheshimu. Mwili ukizidi ni taabu mwanzo mwisho. Ana wajibu wa kujidhibiti
 
Wacha kula vyakula vya mafuta na sukari( carbonated drinks and high calorific snacks).
Kula sana mboga za majani na matunda isipokuwa maparachichi.
Kunywa maji mengi kila siku.
Tembea kwa dakika 25 na kuendelea kila siku.
**angalizo** - usijikondeshe kwa kuacha kula utapata vidonda vya tumbo au kuwa na mwili dhaifu.
Kila la heri
 
Asante kwa ushaur
 
Unataka uwe kimodel kuvutia wanaume huku mwanao akiwa nyondenyonde kwa kukosa nyonyo/maziwa ya mama.....#Chagua_Moja.
Hahaa nataka kupungua kidogo tu ila napenda sana mwanangu awe na afya nzur hivyo nitazingatia ushaur
 
Amalinze unamhukumu Dada wa watu bure usikute mke wa mtu tena anajiheshimu. Mwili ukizidi ni taabu mwanzo mwisho. Ana wajibu wa kujidhibiti
Haswaa bora umesema ww mwili ukizid ni shida na sipunguz kwasababu ya kumpendezesha mtu bali kwa manufaa yangu mwenyewe
 
Wacha kula vyakula vya mafuta na sukari( carbonated drinks and high calorific snacks).
Kula sana mboga za majani na matunda isipokuwa maparachichi.
Kunywa maji mengi kila siku.
Tembea kwa dakika 25 na kuendelea kila siku.
**angalizo** - usijikondeshe kwa kuacha kula utapata vidonda vya tumbo au kuwa na mwili dhaifu.
Kila la heri
Nashukuru
 
Uwe una kunywa konyagi

Mara Moja kwa wiki

changanya na K vant

Ili kupunguza mafuta mwilin
 
Mazoezi ya kutembea haraka dak 150/wiki (23 minutes per day)
Aina 5 Matunda kwa wiki
Mboga za majani kwa wingi
Usile Vyakula vya viwandani
Acha kula nyama nyekundu/ nyeupe ( ng'ombe,kitimoto, kuku)
Kula samaki tu ( mchemsho)
Acha kula vyakula vya mafuta mengi ( acha kula chips)
Kunywa maji ya kutosha
Usiache mazoezi, fanya mazoezi kila siku
Good luck
ushauri mzuri sana
 
Back
Top Bottom