Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteMazoezi ya kutembea haraka dak 150/wiki (23 minutes per day)
Aina 5 Matunda kwa wiki
Mboga za majani kwa wingi
Usile Vyakula vya viwandani
Acha kula nyama nyekundu/ nyeupe ( ng'ombe,kitimoto, kuku)
Kula samaki tu ( mchemsho)
Acha kula vyakula vya mafuta mengi ( acha kula chips)
Kunywa maji ya kutosha
Usiache mazoezi, fanya mazoezi kila siku
Good luck
Asante kwa ushaurSubiri mtoto amalize kunyonya ndipo ufanye hiyo program. Kwa ufupi chakula cha usiku/jioni ni moja ya chanzo. Maana tunakula saa3 wengine hata 4 na kuendelea kisha wanalala. Kumbuka calories hizo hazijatumika popote ila ukiamka tu unapiga chai tena maana mfuko wa chakula ukuwa empty basi kujisikia uhitaji wa kula ni lazima so utakula na mchana utakula tena. Ss ukiangalia ktk ratiba ya ulaji utaona ni afadhali chakula cha asbh na mchana kwani mwili hua active yaani unakua unajishughukisha hivyo unachoma zile calories tofauti na chakula cha usiku. Ss ukimaliza kunyonyesha anza kupunguza sana vyakula vya wanga na sukari tumia matunda na mboga za majani. Na ukimaanisha utaweza kabisa kuacha kula wanga usiku.
Pia kama ambavyo wameshauri baadhi ya wadau ujitahidi ss kufanya mazoezi. Mazoezi mazuri ni kutembea ukiweza kufanya hivyo na kutumia maji mengi ya kunywa utapungua tu. Mm hufanya hivyo ili kudhibiti mwili/uzito
Haswaa bora umesema ww mwili ukizid ni shida na sipunguz kwasababu ya kumpendezesha mtu bali kwa manufaa yangu mwenyeweAmalinze unamhukumu Dada wa watu bure usikute mke wa mtu tena anajiheshimu. Mwili ukizidi ni taabu mwanzo mwisho. Ana wajibu wa kujidhibiti
NashukuruWacha kula vyakula vya mafuta na sukari( carbonated drinks and high calorific snacks).
Kula sana mboga za majani na matunda isipokuwa maparachichi.
Kunywa maji mengi kila siku.
Tembea kwa dakika 25 na kuendelea kila siku.
**angalizo** - usijikondeshe kwa kuacha kula utapata vidonda vya tumbo au kuwa na mwili dhaifu.
Kila la heri
Poa,,nimependa wazo lako,,wanawake wengine wanaona poa na wanaendelea kujinenepeshaAsante
ushauri mzuri sanaMazoezi ya kutembea haraka dak 150/wiki (23 minutes per day)
Aina 5 Matunda kwa wiki
Mboga za majani kwa wingi
Usile Vyakula vya viwandani
Acha kula nyama nyekundu/ nyeupe ( ng'ombe,kitimoto, kuku)
Kula samaki tu ( mchemsho)
Acha kula vyakula vya mafuta mengi ( acha kula chips)
Kunywa maji ya kutosha
Usiache mazoezi, fanya mazoezi kila siku
Good luck