Msaada: Kurepair shock up za mbele za Nissan Tiida

Tractor

Member
Joined
May 23, 2019
Posts
81
Reaction score
110
Wakuu habari za mida,

Msaada wa kifahamu sehemu wanazojaza mafuta ya shock obsober/shock up kwa hapa Dar, niliuzia geniune shock up za Nissan Tiida ni 600k, nilifunga za Wachina 150,000/= mwezi mmoja tu shock up ya kushoto imeshakufa tayari, sasa kuna jamaa alinishauri zile shockup za gari zilizokuja nazo nikajaze Hyroulic zitafanya kazi vizuri sana na muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo pesa mkuu ungejikomgoja ukafunga genuine si ungekaa miaka zaidi ya mitano! Hivi vitu vya bei rahisi vinawatesa sana wamiliki wa magari

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo ndio Nissan, ukiona wenye nazo wanapita meza funda la mate tu endelea na mengine.

Gari imara lazma igharamie kidogo, kuna mtu yupo Ilala nyuma ya fuel station opposite na ofisi ya mkuu wa mkoa. Utanisaheme simjui kwa jina kwa maana siku niliyoenda msaka sikufanikiwa kukuta ila ni maarufu kwa kujaza kama ulivyoshauriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…