Wakuu habari za mida,
Msaada wa kifahamu sehemu wanazojaza mafuta ya shock obsober/shock up kwa hapa Dar, niliuzia geniune shock up za Nissan Tiida ni 600k, nilifunga za Wachina 150,000/= mwezi mmoja tu shock up ya kushoto imeshakufa tayari, sasa kuna jamaa alinishauri zile shockup za gari zilizokuja nazo nikajaze Hyroulic zitafanya kazi vizuri sana na muda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app