Uliondoa 10 nini? Kilo 10 au?Kwangu mimi niliamua kushindia herbal teas na kula mlo mmoja niliondoa 10 kwa miezi miwili. Si njia nzuri
Kwangu mimi niliamua kushindia herbal teas na kula mlo mmoja niliondoa l0 kg miezi miwili. Si njia nzuri
Anza kukimbia asubuhi au jioniNahitaji kupunguza tumbo tuu, kuna uzi nilisoma huku wa kunywa maji ya moto asubuhi, nafanya hivyo kila siku ila wengi naona wananishauri kuruka kamba, nina siku ya 3 naruka 130/150 ila hili la kuruka kamba ni kweli linapunguza tumbo?
NB; nataka kupunguza tumbo tuu.
Shukrani.
Kwahiyo umbo la ile sanamu ya kwenye tangazo matairi limeisha???[emoji844] [emoji844] [emoji844]Kwangu mimi niliamua kushindia herbal teas na kula mlo mmoja niliondoa 10 kwa miezi miwili. Si njia nzuri
Huo mlo mmoja ulikuwa wa sa ngp? Kilo 10 zikatoka duh!Kwangu mimi niliamua kushindia herbal teas na kula mlo mmoja niliondoa 10 kwa miezi miwili. Si njia nzuri
Jioni kabla ya saa mojaHuo mlo mmoja ulikuwa wa sa ngp? Kilo 10 zikatoka duh!
Kuna nyingine unalala chali miguu ikigusa ukuta uniinua miguu 90 degrees na kuirudisha chini