vantz
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 1,107
- 570
- Thread starter
- #21
Asante ila nakula mlo mmoja na asubui nakunywa maji ya moto yenye ndimu mkuuvantz nakuomba unywe chai tu kwa chapati mlo wa jioni au usile kabisa!mazoezi hayapunguzi kama asubuhi unakula ndindi,mchana ndindi,usiku ndindi hamna kitu hapo