Msaada: Kuruka kamba kunapunguza tumbo?

vantz nakuomba unywe chai tu kwa chapati mlo wa jioni au usile kabisa!mazoezi hayapunguzi kama asubuhi unakula ndindi,mchana ndindi,usiku ndindi hamna kitu hapo
Asante ila nakula mlo mmoja na asubui nakunywa maji ya moto yenye ndimu mkuu
 
I wish ningeiweza hiii
 
Reactions: BAK
Utakesha hata mwaka tumbo haitopungua..

2 weeks Fanya diet ya uhakika

Impact utaiona kubwa sana
 
Hahahah nimecheka hapo kwenye mwisho wa kula kipenga kimepulizwa bado masaa 48, nilivyomroho ntakula hadi nizimie [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
kupunguza tumbo inahitaji ujitoe sana na ujinyime kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…