Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha kuibiwa utafika vizuri bila tatizo lolote naitumia hii njia sana..lazima waufungue ili watoze kodi ata ukitumia bandari au airport tra lazima waufungue wathaminishe na kutoza kodi...nimetumia njia hii zaidi ya miaka 8...lazima ufunguliwe...mtumaji lazima ajazefomu na aandike kuna vitu gani na mpokeaji jua umetumiwa nini hakuna ujanjaujanja hapo..kila kitu kipo wazi utaibiwa kivipi???
Koba ni kweli kuwa utaratibu wa kutoza kodi haueleweki lakini hii si posta tu ata bandarini na airport utaratibu wa kodi haueleweki kabisa...kuna siku bandarini kodi ya tra bandarini walitaka 6.4ml baada ya kuipinga nikalipa 2.7ml..ata posta kuna siku nilituma flat screen 2 kodi wakataka laki 1.7 lakini baadaye nikalipa elfu 90 ...ila kuhusu usalama sijawahi poteza kitu ni mwaka wa nane naitumia na almost every month natuma kituSabasaba una bahati tuu,practically mimi nilituma vitu kutoka US viliibiwa karibu nusu na mbaya zaidi hawatumii hata formula ya kutoza kodi ingawaje naamini ipo wao kazi yao ni rushwa tuu ,sina hamu kabisa na hawa watu wa posta lakini acha waendelee na upuuzi wao maana shirika likifa wao ndio watapoteza kazi
Mm kuna m2 yupo Sweden anataka kunitumia tv flat screen 32inch,kupitia posta je ushuru inaweza fika bei gan.??
Jamani posta USA watasafirisha mzigo ukifika Tanzania utaibiwa. Tafuta usafiri wa kuaminika hata kama utaingia gharama kidogo.
USA ukitumia Express mail, siku 3-4 unaupata mzigo wako.
Ukitumia priority mail, kuanzia siku 10 - 28 utaupata mzigo wako. hapa ndio harufu ya kupoteza mzigo huja.
Kwa system ya posta ushuru utatakiwa kulipia huku kule utalipia sending charges tu..uzuri ni kwamba kila mtaa kuna huduma ya posta..kwa kilo kumi wawezatumia ata dhl japo huitaki..siku hizi posta mambo yote yapo wazi mtumaji atakupatia namba itayokuwezesha ku trace mzigo wako kama ilivyo dhl..ata ulipaji wa kodi si mkubwa
Kwa vitu vizito kama hivyo meli ndio njia nzuri zaidi maana ni cheap na hata kodi yake haitakusumbua..japo sijajua ukubwa wa hizo frigdes na ni ngapi mpya au used zina lita ngapi nk..moving camers na home theatre zinatumika vizuri ata kwa posta(binafsi nimekwishatuma)ushuru ulikuwa laki 1.2 kwa vyote viwili...njia nyingine ni kwa ndege lakini ni expensive ktk kutuma na ata mzigo ukifika pale airport TRA watajua una pesa..nadhani kitachendelea unajua ni nini
Sabasaba una bahati tuu,practically mimi nilituma vitu kutoka US viliibiwa karibu nusu na mbaya zaidi hawatumii hata formula ya kutoza kodi ingawaje naamini ipo wao kazi yao ni rushwa tuu ,sina hamu kabisa na hawa watu wa posta lakini acha waendelee na upuuzi wao maana shirika likifa wao ndio watapoteza kazi