MSAADA: Kusaidiana na Ibada

MSAADA: Kusaidiana na Ibada

Pole sana,ila nimeona jina lako nimejua imani yako ni ipi,jaribu kuongea na viongozi wa wako wa dini,mtu kama wewe ulistahili upewe fungu la ZAKA ili ulipe deni na upate kiasi cha kukuinua kiuchumi
 
Kweli kweli , akae karibu na jumuiya ya hapo waongee
 
Back
Top Bottom