NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then brela wanamalizia. Sh. Ngapi mwanasheria akipewa atamaliza kazi iliyobaki hadi kupata certificate?Mtaji wa kampuni 10ml. Vitabu viko 4.
Kwanini usiende BRELA kuwauliza?NAOMBA KUJUA GHARAMA ZA USAJILI WA KAMPUNI IKIWA: jina limekubaliwa brela, Memorandum na article of ass. tayari. Naambiwa hizo documents zipitiwe na kusainiwa na mwanasheria, then stampduty, then brela wanamalizia. Sh. Ngapi mwanasheria akipewa atamaliza kazi iliyobaki hadi kupata certificate?Mtaji wa kampuni 10ml. Vitabu viko 4.